"Katika kipindi cha uongozi wa Mhe. Rais Dkt
Samia Suluhu Hassan kuanzia Marchi, 2021 hadi Marchi, 2025 Serikali ya awamu ya Sita , Manispaa ya Lindi imetupatia fedha jumla ya Shilingi Bilioni 86 kwa ajili ya utekelezaji wa miundombinu mbalimbali ya Elimu, Afya, Maji, Barabara, Utawala, Viwanda na Biashara, Ujenzi na kilimo, Mifugo na Uvuvi. "Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Victoria Mwanziva @victoria.mwanziva
Dc Mwanziva ameeleza kuwa, miongoni mwa mradi mkubwa ambao umepata fedha nyingi ni shule ya wasichana Lindi iliyojikita katika mchepuo wa masomo ya sayansi, imepata zaidi ya Bilioni 4 hadi kukamilika kwake.
Wanafunzi na walimu wametuma salamu za shukrani kwa Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna shule hiyo ilivyomsaada mkubwa kwao.
@ikulu_mawasiliano
@ortamisemi
@mohamed_mchengerwa
@msemajimkuuwaserikali
@victoria.mwanziva
@nte_apple
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.