Leo Novemba 9, 2025, Chama Kikuu cha Ushirika Lindi Mwambao kimefanya mnada wake wa kwanza na kufanikiwa kuuza Jumla ya tani 5,106 za korosho ghafi kupitia mfumo wa Soko la bidhaa Tanzania (TMX) katika mnada wa kwanza wa Chama hicho. Bei ya juu ya shilingi 2,460 na bei ya chini ya shilingi 2,310 kwa kilo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.