Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack awahamasisha wananchi kujitokeza
kwenda kupiga kura kutimiza haki yao ya kikatiba huku akiwahakikishia hali ya ulinzi na usalama kuwa tulivu .
"Niwapongeze wananchi wa Mkoa wa Lindi kwa kuendelea kudumisha amani iliyopo na kuvipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuendelea Amani, wananchi wajitokeza kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025, lindi ipo salama " Mhe. Telack.
Imebaki siku Moja tu, tukapige kura kuchagua viongozi wetu.
"Kura yako haki yako jitokeze kupiga kura"

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.