#picha. Baadhi ya watumishi wanaowakilisha Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi wakiambatana na watumishi kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa wakiwa katika banda lao wakiadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma ambayo inaanza Juni 16 hadi 23 , 2025.
Watumishi wa Mkoa wa Lindi wameongozwa na Katibu Tawala Msaidizi Utawala Mkoa Ndugu Nathalis Linuma .
Maadhimisho haya kwa mwaka 2025 yanafanyika Jijini Dodoma .
Kauli mbiu ya Maonesho ya mwaka 2025 inasema " Himiza Matumizi ya Mifumo ya Kigitali, Kuongeza Upatikanaji wa Taarifa na Kuchangia Uwajobikaji"
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.