Mkoa wa Lindi umeshiriki maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika Jijini Dar Es Salaam ambapo uzinduzi umeanza leo Julai 7, 2025 .
Karibu sana tukuhudumie kwa bidhaa bora na zenye upekee kutoka Mkoa wa Lindi .
Ukifika katika banda letu licha ya kujinyakulia bidhaa bora pia utapata kufahamu fursa nyingi zilizopo mkoa wa Lindi.
Karibu sana Lindi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.