Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack anawakaribisha wananchi wa Mkoa wa Lindi katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani Desemba 1, 2024 ambayo ngazi ya Mkoa ya tafanyika kijiji cha Nahukahuka Halmashauri ya Mtama,
Ikumbukwe maadhimisho ya siku ya UKIMWI ufanyika kila mwaka ifikapo Desemba 1, 2024
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.