MAZAO YA KOROSHO, UFUTA NA MBAAZI YAINGIZIA LINDI MABILIONI YA FEDHA.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack akizungumza katika kikao cha tathimini ya mwenendo wa mazao ya biashra Mkoa wa Lindi ambayo ni Korosho, Ufuta na mbaazi ambayo yameingiza fedha nyingi Mkoa wa Lindi. Mhe. Telack amesema kuwa zao la ufuta kwa mwaka uliopita umeingiza bilioni 197.3 , Mbaazi imeingiza bilioni bilioni 26 na korosho imeingiza Bilioni 324 kwa mwaka. Kikao hicho muhimu kitalenga kuona namna ya kuongeza uzalishaji zaidi na utatuzi wa changamoto.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.