MIRADI YA MAENDELEO YA BIL 8 YAKAGULIWA LIWALE.
Timu ya Mkoa wa Lindi ikiongozwa na Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu Ndugu. Nathalis Linuma imefanya ufuatiliaji na Tathimini ya utekelezaji wa miradi ya Maendeleo yenye thamani ya Bilioni Nane katika Halmashauri ya Liwale . Timu hiyo imepitia ujenzi wa madarasa, Jengo la Ofisi ya Halmashauri na hatua za ujenzi wa nyumba za za watumishi pamoja na namna huduma bora zinavyotolewa kwa wananchi. Utaratibu huu ni wakawaida wenye lengo la kuimarisha utendaji wa kazi na ubora wa miradi ndani ya Mkoa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.