Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari Mtuanana Halmashauri ya Nachingwea unagharimu zaidi ya Milioni 560 umefikia hatua za mwisho ambapo wanafunzi ambao wakisagiri umbali mrefu kutafuta elimu sasa changamoto hiyo imepata ufumbuzi . Hayo yameelezwa mara baada ya timu ya ufuatiliaji na tathimini kutoka Mkoani Lindi kutembela mradi huo na kuona namna ambavyo umetekelezwa . Shule hiyo imeanza kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza 2025 . Kazi umaliziaji inaendelea.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.