• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

MTAMA NA MCHINGA KUPATA MABOMU BARIDI 1000 KWA AJILI YA KUFUKUZA NDOVU

Posted on: July 16th, 2024

Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dustan Kitandula ameeleza moja ya mkakati wa haraka ambao unakwenda kutekelezwa na serikali katika kukabiliana na mnyama Ndovu ambao wanavamia makazi ya wananchi katika jimbo la Mchinga na Mtama ni kupeleka mabomu baridi 1000 ambayo yameonesha ufanisi katika zoezi la kuwafukuza Tembo.MLola

”Mhe. Mbunge alisema mwezi wa tano wasita hivi tulifanya zoezi la kukabidhi mabomu baridi kwaajili ya kuja kufukuza Tembo hii ni kazi kubwa imefanywa ya utafiti kwa taasisi yetu ya TAWA kwa kushirikiana na wenzetu wa Jeshi la Mzinga, watu wetu wa TAWIRI ambao ndiyo wanaohusika na utafiti kwa kuona yale mabomu ya zamani ambayo tulikuwa tunayatumia udhaifu wake ni nini, nini kifanyike kuyaongezea nguvu, nafurahi kusema, sasa tunayo mabomu ambayo yanauwezo mkubwa wa kufukuza Tembo na ndiyo hayo tuliyagawa ya kufanya majaribio. Kwa Lindi, Nachingwea na Liwale tulitoa mabomu karibu 200 sasa kwa safari hii, tunakuja kwa nguvu kubwa zaidi hapa Mchinga Mhe. Mbunge tunakuletea mabomu 500 kwa ndugu yangu Nape tunapelekea mabomu 500 hii katika kuhakikisha zoezi la kufukuza wanyama hawa lifanyike vizuri " Alisema Mhe. Kitandula.

Ameongeza kwakusema katika bajeti hii ya mwaka 2024/2025 imeongezwa bajeti ya kununua helkopata mbili, Ngefe nyuki na kufanya mafunzo kwenye vijiji vyote ambavyo vinachangamoto ya Ndovu ili wananchi wapate elimu ya namna ya kufukuza wanyama hao kwani siyo kila mtu anaweza kufukuza tembo.

Mhe. Kitandula ametuma fursa hiyo kutoa pole na kuwataka wahusika wanaowasilisha  taarifa za changamoto zinazotokana na Ndovu kuanzia ngazi ya kata na halmashauri kuharakisha kuwasilisha taarifa pale inapotokea uharibifu wa mazao, kifo au kujeruhiwa kwa ajili ya kutoa kifuta machozi kwa wale wote ambao wamepata changamoto za aina hiyo.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack ameeleza kuwa kwasasa Mkoa umejipanga vizuri kuhakikisha hakuna migogoro ya wakulima na wafugaji ambayo itatokea ndani ya Mkoa, ametoa wito kwa wananchi kuhakikisha hakauna mfugaji ambaye anaingiza Ng’ombe katika maeneo yao pasipo kibali, yeyote ambaye ataingiza mifugo kinyume na utaratibu hatua zitachukuliwa dhidi yake.

Yameelezwa hayo baada ya kubainika kuwa shughuli mbalimbali za wananchi hasa ufugaji wa Ng’ombe na kilimo cha kuhama hama kuvamia  hifadhi  na kupelekea Ndovu kuanza kutafuta maeneo mengine ambayo watapata maji na chakula.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.