Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack anawakaribisha wananchi wote wa Mkoa wa Lindi katika kuupokea Mwenge wa Uhuru ambao utatembelea, kukagua, Kuzindua na kuweka jiwe la Msingi katika miradi mbalimbali ndani ya Mkoa wa Lindi .
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kupokelewa Madangwa Sudi Halmashauri ya Mtama.
Kauli Mbiu : "Jitokeze Kushiriki Uchgauzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu."
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.