#picha Mgeni Rasmi wa kikao kazi cha wataalam wa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Lindi , katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary, akiwasili katika kikao kazi kinachofanyika katika ukumbi wa Dokyard Manispaa ya Lindi.
Leo Desemba 4, 2025.
Kikao ambacho kimewakutanisha Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka Halmashauri zote za Mkoa wa Lindi na maafisa kutoka Mako makuu ya wizara ya Maendeleo ya Jamii. Kikao hicho kitafanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia leo Desemba 4 hadi 5, 2025.



Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.