Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary amekiongoza kikao cha maandalizi ya Maonesho ya Madini na fursa za uwekezaji Mkoa wa Lindi kilichofanyika Mei 14, 2025 na kuhudhuriwa na wakuu wa wilaya zote za Mkoa wa Lindi, wadau wa madini, viongozi mbalimbali wa Taasisi za umma, mashirika na makampuni binafsi.
Katika kikao hicho , Katibu Tawala Bi Zuwena Omary amewasisitiza wajumbe kushiriki kikamilifu maonesho hayo kwasababu ya umuhimu wake kwa mkoa wa Lindi na Taifa kwa ujumla huku akitaka kila mmoja kukamilisha michango kwa wakati kufanikisha lengo la Maandalizo ya Maonesho hayo .
@ortamisemi
@ikulu_mawasiliano
@wizara_ya_madini_tanzania
@zainabutelacky
@jirized .
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.