Mgeni Rasmi wa jukwaa la wadau wa kodi Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary akiwasili katika kikao cha wadau wa kodi Mkoa wa Lindi kumwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack na kupokelewa na mwenyeji wake Meneja wa TRA Mkoa wa Lindi Ndugu Robert Mhanzi kilichofanyika leo Mei 16, 2025
Kikao hicho kimewakutanisha wadau mbalimbali kutoka wilaya zote zote za Mkoa wa Lindi chenye lengo la kujadili maswala kadhaa ya namna bora ya kuboresha na kuebdeleza Mifumo ya ulipaji kodi kwa maendeleo ya nchi .
@tratanzania
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.