Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack @zainabutelacky akiambatana na Mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe. @victoria.mwanziva wamepiga kura kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa leo Nov 27, 2024.
Mhe. Telack amewahakikishia wananchi wa Lindi hali ya ulinzi na usalama wakati wote wa kupiga kura na kusubiri matokeo, hivyo wajitokeze katika vituo kwenda kupiga kura .
@
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.