MKuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amekabidhiwa tuzo ya heshima kama muasisi wa Maonesho ya Madini ambayo yalianza mwaka 2023 yakiwa na mafanikio makubwa . Tuzo hiyo imekabidhiwa Juni 14, 2025 na Mhe. Steven kuruswa Naib Waziri wizara ya Madini .
Maonesho hayo yamefanyika kwa mara ya pili mwaka huu 2025 yakikutanisha wadau zaidi ya elfu saba .
Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Mhe. Zainab Telack katika kuibua na kuinua sekta mbalinbali mkoani Lindi ikiwemo Madini .
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.