Mgeni rasmi wa jukwaa la Maendeleo ya ushirika Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack Mkuu wa Mkoa wa Lindi akipokea maandamano ya wanaushirika leo Mei 18, 2025 katika jukwaa la ushirika linalofanyika katika ukumbi wa SeaView Lindi Manispaa ya Lindi.
Kauli mbiu ya jukwa hilo " Ushirika Hujenga Ulimwengu ulio Bora " .
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.