• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

SERIKALI KUENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA NGO's LINDI

Posted on: July 10th, 2025


Serikali Mkoani Lindi inatambua mchango wa mashirika yasiyoyakiserikali Mkoani humo na hivyo inaendelea kuweka mazingira mazuri na wezeshi ili yaweze kujiendesha na kuwahudumia wananchi.

Kauli hiyo imetolewa leo Julai 10,2025 na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Victoria Mwanziva kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Hajjat Zainab Telack katika ufunguzi wa Kongamano la Mwaka la Mashirika yasiyo ya kiserikali Mkoani humo lililofanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Manispaa ya Lindi.

Mhe. Mwanziva amepongeza NGO's zinazoendelea kufanya kazi ndani ya Mkoa wa Lindi ikiwa ni kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan na ndio maana ipo Wizara ya Maendeleo ya Jamii inayosimamia vyema mashirika hayo kwa kuyatambua kama nguzo muhimu ya maendeleo ya kijamii,kiuchumi na kama wabia muhimu katika maendeleo ya Taifa kwa kuhusisha wafadhili na watu  walio katika hali mbalimbali.

Amesema kongamano hilo linaakisi tathmini ambayo serikali imekuwa inafanya kwa mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kipindi cha miaka mitano ikilenga kuona mchango  wa mashirika hayo kifursa ,changamoto na kupitia uendeshaji na shughuli zinazofanywa huku kupitia Sera ya Taifa ya mashirika yasiyo ya kiserikali ya mwaka 2001 ikiendelea kuweka msingi wa uratibu wa mashirika hayo katika kujisajili nchini na kuainisha vyombo vya usimamizi.

Kwa upande wake Mwakilishi kutoka Wizara ya  Maendeleo ya jamii Francesca Herias amehimiza na kukumbusha wajumbe wa kongamano hilo kuendelea kuzingatia sheria na taratibu za uendesha wa mashirika hayo ikiwemo kuwasilisha taarifa za mwaka sambamba na kuwa na miradi ambayo itawasaidia kujiendesha hata wanapokosa ufadhili.

Awali, Mwenyekiti wa Mashirika yasiyo ya kiserikali Taifa Gasper Makala ameeleza lengo la kongamono hilo licha ya kujadili changamoto bali kukumbushana wajibu na majukumu ya mashirika yasiyo ya kiserikali .

Na Msajili msaidizi wa Mashirika yasiyo ya kiserikali Mkoa wa Lindi  Charles Kigahe, ametoa wito kwa mashirika yote ya mkoa wa Lindi ambayo yamesajiliwa kufanyakazi kulingana na mpango na malengo husika.

@gwajimad

@maendeleoyajamii

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • TPDC KUANZA UTAFITI WA KUTAMBUA UWEPO WA UKUBWA WA AKIBA YA MAFUTA NA GESI CHINI YA ARDHI LINDI

    July 15, 2025
  • MKOA WA LINDI WAFAULISHA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA KWA 100%, RAS APONGEZA

    July 11, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA SEKTA YA ELIMU NUSU MUHULA CHAFANYIKA LINDI

    July 11, 2025
  • SERIKALI KUENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA NGO's LINDI

    July 10, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.