• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

SERIKALI YAENDELEA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WAFANYAKAZI

Posted on: May 2nd, 2023

Hayo yamebainika jana jumatatu tarehe 01 Mei 2023 katika sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi) Duniani ambazo kwa Mkoa wa Lindi zimeadhimishwa Wilayani Kilwa kwenye kiwanja cha Mkapa Garden ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack.

Hata hivyo Mhe. Telack hakuweza kushiriki katika Sherehe hizi za mkoa baada ya kupata mwaliko wa kushiriki maadhimisho yaliyofanyika kitaifa Mkoani Morogoro.

Akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi  , Mhe. Christopher Ngubiagai ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, amesema kuwa ushirikiano wa wafanyakazi ndio msingi wa maendeleo yaliyofikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Amesema kuwa Mkoa wa Lindi Kwa mwaka wa fedha 2022/23 umeletewa fedha za miradi kutoka serikalini kiasi cha Tsh. Bil. 318 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo mbalimbali katika sekta za afya, elimu, maji, barabara. Fedha hizi za miradi na maendeleo zimeleta tija na mafanikio makubwa kupitia Usimamizi na ushirikiano wa wafanyakazi.

Mhe. Mkuu wa Mkoa ameongeza  kuwa pamoja na mafanikio yaliyopatikana, Serikali imeendelea kushughulikia changamoto mbalimbali za wafanyakazi wa Mkoa wa Lindi ambapo tayari  imeajiri jumla ya wafanyakazi wapya 980, jumla ya wafanyakazi 1508 wameoandishwa madaraja na jumla ya wafanyakazi 169 wamebadilishiwa Kada.

Pia Serikali imeendelea kuboresha mifumo ya michango ya wafanyakazi ambapo kwa sasa michango inalipwa moja kwa moja kwenye mifumo ya jamii kupitia mifumo ya kisasa, Serikali inaendelea kufanyia kazi changamoto ya watumishi wanaolipwa  na Serikali za Mitaa kupitia mapato ya ndani.Mkuu wa Mkoa ametoa wito kwa waajiri wote  kuzingatia taratibu, Sheria, Kanuni na miongozo ya Serikali kuhakikisha wameandaa taarifa za mafao yao pamoja na  kulipa stahiki za wastaafu kwa wakati ikiwemo gharama za kuwasafirisha nyumbani kwao.

Aidha, amewataka wafanyakazi kutumia vizuri masaa ya kazi na raslimali zilizopo katika kuleta tija na ufanisi. Ameongeza kuwa Taifa haliwezi kufikia maendeleo yaliyokusudiwa kwa kutangukiza tamaa na ubinafsi ikiwemo kutoa huduma kwa ubaguzi.



Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.