Serikali kupitia wizara ya Mifugo na Uvuvi imeendelea kuweka vipaumbele muhimu ili kuboresha tija na uendelevu wa sekta ya mifugo na uvuvi nchini.
Akitoa salamu za Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Mwakilishi wa wizara hiyo katika Maonyesho ya Nanenane Kanda ya Kusini Bwana. Mussa Ally Hamis ameeleza kuwa miongoni mwa maeneo yaliyopewa vipaumbele ni:
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.