SHULE HII IMEOKOA IDADI KUBWA YA WATOTO/WANAFUNZI.
Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari kichonda liliyopo Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi, Mwalimu Alli H. Mbwana anaeleza hali ilivyokuwa kabla ya ujenzi wa shule hii kubwa iliyogharimu zaidi ya Milioni 560 .
Mwalimu Mbwana anasema kabla ya ujenzi wa Shule hiyo idadi kubwa ya wanafunzi walishindwa kuendelea na masomo na kukatisha ndoto zao kutokana na umbali na changamoto za barabarani.
Aidha, ametumia fursa hiyo kumshukuru Mhe. Rais Dkt.
Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan kwa fedha za mradi huo ambao umekuwa msaada mkubwa kwa wazazi, walezi na wanafunzi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.