Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi inapenda kuwatahadharisha wananchi wote kuhusu utapeli unaofanyika katika mitandao hasa kwa kutumia simu wakitakiwa kutuma fedha kwa ajili ya kupata ajira serikalini na wengine kubadilishiwa vituo vya kazi na kupangiwa vituo vipya. Hatua mbalimbali za kuwabaini na kuwachukulia hatua stahiki zinaendelea.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.