Timu ya Mkoa ya ufuatiliaji na tathimini ya miradi ya Maendeleo wilayani imewasili wilaya ya Nachingwea mapema leo Oktoba 10, 2025 kwa ajili ya kufuatilia na tathimini ya miradi.
Timu hiyo ikiongozwa na Katibu Tawala Msaidizi Mkoa Seksheni ya Mipango na uratibu Ndugu Juhudi Mgalla imeripoti ofisi ya Mkuu wa Wilaya na kisha ofisi ya Mkurugenzi kwa ajili ya kujitambulisha na kupata taarifa za awali kabla ya kutembelea miradi .
Ufuatiliaji na kufanya tathimini ya miradi ya maendeleo ni utaratibu wa kawaida katika kuhakikisha uboreshaji na ukamilishaji wa miradi katika viwango vinavyostahili.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.