UBORA WA KOROSHO UZINGATIWE - RC LINDI
Mhe. Zainab Telack Mkuu wa Mkoa wa Lindi amesisitiza wakulima, Amcos pamoja na wasimamizi wa maghala kuzingatia ubora wa korosho, akisema hayo Novemba 09, wakati wa uzinduzi wa msimu wa korosho 2025 katika Chama cha Ushirika cha Lindi Mwambao, kinachosimamia wilaya za Lindi, Kilwa pamoja na halmashauri ya Mtama.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.