• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Government Communication
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

UJENZI WA MADARAJA NA BARABARA KUSINI WAFIKIA 88%

Posted on: November 27th, 2025

UJENZI WA MADARAJA NA BARABARA KUSINI

WAFIKIA 88%

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekagua na kuridhishwa na hatua mbalimbali za ujenzi wa madaraja ya dharura yaliyoko katika Mkoa wa Lindi ambayo utekelezaji wake umefikia zaidi ya asilimia 88.


Baadhi ya madaraja hayo ni yale yaliyojengwa katika maeneo ya Somanga, Njia Nne na Matandu ambako kuharibika kwa barabara katika maeneo hayo wakati wa majira ya mvua kulikuwa kunasababisha usafiri wa kwenda mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma mgumu.

Akizungumza wakati wa ukaguzi huo, Ulega aliwahakikishia Watanzania kuwa madaraja hayo yatakapokuwa yamekamilika kwa asilimia 100, mambo yaliyokuwa yakitokea miaka yote kipindi cha mvua za masika katika eneo la Somanga, Njia Nne na Matandu hayatarejea tena.

Katika hatua nyingine, Ulega amewahakikisha Watanzania kuwa wakandarasi hawatalala bali watafanya kazi usiku na mchana ili hadi kufikia Disemba 24, 2025 madaraja hayo yawe yamekamilika.

Waziri Ulega amekagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Somanga Mtama (m 60) ambalo limefikia asilimia 89, Daraja la Kipatwa (m 40) limefikia asilimia 86.7, Daraja la Mikereng'ende (m 40) limefikia asilimia 90.06 na Daraja la Njenga (Matandu) lenve urefu wa mita 60 ambalo limefikia 86.67.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mohammed Nyundo, ametoa pongezi kwa Waziri Ulega pamoja na timu ya wataalamu kutoka wizarani na TANROADS kwa ujenzi wa madaraja hayo ambayo hivi sasa kazi kubwa zote zimekamilika. Pia alisema wameambiwa kuwa wananchi wataruhusiwa kupita kwenye madaraja hayo pale mvua zitakapokuwa zimeanza.


Naye, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Emil Zengo, amefafanua kuwa katika Daraja la Somanga Mtama (m 60), mkandarasi amekamilisha ujenzi wa nguzo 43 zenye urefu wa mita 12, nguzo kuu tatu zinazobeba daraja, boriti za chuma na ameshamaliza kusuka nondo katika kitako cha daraja kwa ajili ya kumwaga zege.






Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI, TAASISI ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI ZATAKIWA KUIMARISHA HUDUMA KWA WAJASIRIAMALI MKOANI LINDI

    November 27, 2025
  • UJENZI WA MADARAJA NA BARABARA KUSINI WAFIKIA 88%

    November 27, 2025
  • DKT. SHEKALAGHE AAGIZA HUDUMA KUANZA KUTOLEWA HOSPITALI MPYA YA RUFAA LINDI SOKOINE IFIKAPO JANUARI 1, 2026

    November 26, 2025
  • BODI YA KOROSHO TANZANIA YAWAPIGA MSASA MAAFISA BIASHARA MKOA WA LINDI.

    November 26, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.