UJENZI WA SHULE YA MSINGI LIKONG'O WAFIKIA 53%.
Ujenzi wa Shule kubwa ya kisasa wenye thamani ya
Bilioni 1. 2 inayojengwa na Shirika la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) kwa kushirikiana na Equinor na Shell umefikia 53%.
Shule hii inajengwa Manispaa ya Lindi.







Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.