Katika kuendelea kuwainua wajasirimali wa Mkoa wa Lindi baada ya siku ya kwanza kuzinduliwa kwa gulio la bidhaa za usindikaji na ushonaji na waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Seleman Jafo , leo Nobrmba 3, 2024 wajasiriamali wanaendelea kupata mafunzo.
Stella Kamando kutoka idara ya viwanda, Biasdhara na uwekezaji ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi ameeleza namna mafunzo hayo yanakwenda kuwa na tija kwa wajasirimali kwani wengi walikuwa wanafanya biashara bila kuwa na miongozo ama uwelewa wa hali ya soko.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.