#picha Wananchi wakiendelea kupata elimu mbalimbali kuhusu fursa zilizopo Mkoani Lindi hususani Madini yaliyopo na mnyororo wake .
Leo juni 14, 2025 ni siku ya Mwisho ya Maonesho haya ya Madini ambayo yalianza Juni 11, 2025 ambapo yanatarajiwa na Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa Waziri Mkuu wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania .
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.