Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Zuwena Omary @jirized akikagua baadhi ya vituo vya kupiga kura katika vituo ambavyo amevitembelea kuona hali ya upigaji kura, hali ni ulinzi na usalama ipo vizuri na wananchi wamejitokeza kwa wingi kupiga kura.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.