WATUMISHI WAPATA ELIMU YA AFYA YA AKILI WIKI YA UTUMISHI WA UMMA DODOMA
watumishi kutoka Mkoa wa Lindi wamepata Elimu ya Afya ya Kili kutoka kwa Dkt. Pascal D. King'ria (Clinical Psychiatry ) kutoka Meru DC .
Moja ya jambo ambalo limesisitizwa ni juu ya kuweza kujitambua na kutambua hali za wengine katika mazingira ya kila siku na mazingira ya kazi .
Amesema, katika kutimiza majukumu ya utumishi wa umma ni vema kuepuka mazingira mbayo yanaweza kuleta msongo wa mawazo na kusababisha afya ya akili ambayo yatahatarisha utendaji wa ka,i na uwe,o binafsi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.