Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) mgeni rasmi wa kongamno la wanawake kanda ya kusini ambalo litafanyika wilayani Nachingwea Mkoani Lindi Marchi 6, 2025 katika viwanja vya Maegesho .
Katika kongamano hilo maswala mbalimbali yanayohusu jinsia yanatarajiwa kujadiliwa ikiwemo fursa za kiuchumi, kisiasa na utamaduni .
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.