Posted on: November 27th, 2024
Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Zuwena Omary @jirized akikagua baadhi ya vituo vya kupiga kura katika vituo ambavyo amevitembelea kuona hali ya upigaji kura, hali ni ulinzi na usalama ipo vizuri na ...
Posted on: November 27th, 2024
Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary amepiga kura kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa katika kituo ambacho alijiandikisha Mtanda juu, Novemba 27, 2024...
Posted on: November 27th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Zainab Telack anawakumbusha wananchi waliojiandikisha kwenda kupiga kura leo Novemba 27, 2024 kuchagua viongozi wao wa serikali za mitaa....