Ndg. Juhudi B. Mgallah,
Katibu Tawala Msaidizi - Mipango na Uratibu
Sehemu hii lengo lake ni kutoa huduma za kitaalamu katika nyanja za Mipango, Bajeti na vilevile kuratibu shughuli za Sekretarieti ya Mkoa katika kutoa uwezeshaji wa utaalamu kwa mamlaka za Serikali za Mitaa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi anayewajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Majukumu ya Sehemu
Watumishi wanaohusika na Sehemu hii ni:-
1. Wachumi
2. Mtakwimu
3. Maafisa Maendeleo ya Jamii
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.