Ndg. Nathalis L. Linuma
Katibu Tawala Msaidizi-Utawala na Raslimali watu
Sehemu ya Utawala na Rasilimali Watu ina jukumu la kuhakikisha kwamba huduma za kiutumishi na utawala zinatolewa kwa mujibu wa kanuni, sheria, taratibu na miongozo ya serikali. Sehemu hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala Mkoa. Miongoni mwa majukumu ya msingi ya sehemu ya utawala na rasilimali watu katika mkoa ni kama ifuatavyo:-
Majukumu ya Seksheni ya Utawala na Rasilimali watu:
Watumishi wanaohusika na Sehemu hii ni:-
1. Maafisa Tawala
2. Afisa Utumishi
3. Makatibu Muhtasi
4. Makarani wa Masijala
5. Madereva
6. Wasaidizi wa Ofisi
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.