RUANGWA LIWALE KILWA NACHINGWEA LINDI RURAL LINDI URBAN  
 
 

PRIVATE AREA:

Tazama Email / Webmail


Mkoa wa Lindi

Mkoa wa Lindi upo katika ukanda wa Pwani Kusini Mashariki mwa Tanzania na umepakana na Bahari ya Hindi upande wa Mashariki, mikoa ya Morogoro na Ruvuma upande wa Magharibi, mkoa wa Pwani upande wa Kaskazini na Kusini ni Mkoa wa Mtwara. Mkoa upo Kusini mwa Ikweta katri ya Latitude 7o55, na 10o longitude 36o55, na 40o Mashariki ya" Greenwich " . Mkoa huu ulizunduliwa rasmi mwaka 1971.
Soma zaidi

Mkoa wa Lindi ni miongoni mwa Mikoa michache ambayo yenye uoto wa asili
Eneo la Mkoa ni kilometa za mraba 67,000 na takriban robo ya eneo hili – sq.m 18,000 ni mbuga ya hifadhi ya wanyama ya
SELOUS GAME RESERVE. Kati ya eneo hilo lote la Mkoa ni Ha. 5,250,000 ndizo hufaa kwa kilimo na ni asilimia 10 tu ya eneo hilo hadi sasa linatumika kwa madhumuni hayo.
Soma zaidi

Tafuta:

NEWS
 
Waziri Mkuu apokea taarifa ya Wilaya - Liwale;Lindi

Liwale ina eneo la kilometa za mraba 38,380. Kati ya eneo hilo zaidi ya ½ ni misitu yenye kilometa za mraba 27,965.4 mgawanyo wake ukiwa kama ifuatavyo; Hifadhi ya mbuga ya Selous kilometa za mraba 25,587,
 
Soma zaidi
Wananchi Wakisiliza hotuba ya Rais - Huduma ya maji safi - Lindi

Kulingana na Sera ya Maji ya mwaka 2002, Serikali imeweka Mpango wa Taifa wa Maendeleo ya Sekta ya Maji na Usafi wa Mazingira yenye lengo la kushirikisha ...
 
Soma zaidi
   
INVESTMENTS OPPORTUNITY
Forest
Mining
Fishing
Industry
   
TOURISM
Wildlife
Tourist Hotel
Kilwa
bullet
Vivutio vya Utalii Lindi

Copyright 2007 - 2014 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi,
P.O.BOX 1054,Lindi , Simu Na:
023-2202098, FAX: 023-220-2502