HATUA ZA KUFUATA
1. Hakikisha umesajiliwa kwenye mfumo
Unaweza kusajiliwa kupitia Afisa TEHAMA wa Mkoa au Halmashauri uliyopo. Ili kuingia kwenye mfumo bonyeza hapa Kibali cha kusafiri nje
2. Huisha akaunti yako ya Mfumo
Tumia akaunti yako ya barua pepe za serikali Ili kusajiliwa na uweze kuhuisha akauti yako mara baada ya hatua ya kwanza kukamilika
3. Ingia na chagua kiungo cha kibali cha Kusafiria
Upande wa kushoto mwa mfumo kuna machaguo,chagua kiungo cha kibali cha kusafiria kisha chagua Omba kibali.
4. Jaza Fomu kwa kufuata hatua namba 1 mpaka namba 5 .
Mara baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu kikamilifu ,bonyeza wasilisha kukamilisha maombi ya kibali
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.