Kadi ya Bima ya Afya ya Jamii (ICHF) inapatikana katika ngazi ya jamii kwa kila kijiji muulizie Afisa Mwandikishaji wa Bima katika kijiji chako husika au katika Zahanati/kituo cha Afya kilicho karibu yako utapatiwa utaratibu wa kujiunga..
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.