Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack kuwaongoza wananchi wa Mkoa wa Lindi kuupokea Mwenge wa Uhuru ukitokea Mkoa wa Mtwara leo Mei 26, 2025.
Mwenge wa uhuru unatarajia kutembelea, kukagua, kuzindua na kuweka jiwe la msingi miradi 59 yenye thamani ya ya Tsh Bilioni 22.4
Mwenge wa uhuru unapokelewa Madangwa Sudi Halmashauri ya Mtama
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.