• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

HAMASA YA ELIMU YA LISHE KUHUSU ULAJI UNAOFAA IONGEZEKE

Posted on: November 5th, 2024

Mwenyekiti wa kamati ya lishe Mkoa Bi. Zuwena omary ametoa wito kwa wajumbe wa kamati hiyo kuongeza hamasa ya kutoa elimu kwa jamii juu ya  umuhimu wa ulaji unaofaa .

Wito huo ameutoa wakati wa mjadala wa namna ya  kuendelea kuhakikisha jamii inazingatia kanuni za afya bora kupitia vyakula vyao kwa kuwapa utaratibu nzuri .


"Ninaimani kuwa wananchi wakielekezwa na kuelimishwa mara kwa mara kuhusu chakula bora na mpangilio wake, wanatekeleza , watanzania waaminifu na watiifu sana katika kuzingatia Maelekezo hasa kwa wamama wajawazito " Bi Zuwena omary

Mwenyekiti ametoa eqito huo kufuatia taarifa ya hali ya lishe katika mkoa wa Lindi kwa kipindi cha julai hadi Septemba  2024 kupitia tafiti zilizofanyika kwa baadhi ya viashiria vya hali mbalimbali ikiwemo udumavu waliopimwa zaidi ya Elfu 13, waliobainika na udumavu ni 178 Sawa na 0.1%, hali ya ukondefu waliopimwa zaidi ya elfu 13, waliobainika 133 sawa na 0.1 % na upungufu wa damu kwa wanawake walio katika umri wa uzazi waliopimwa elfu 9 waliobainika 190 sawa na 2.1%

Imebaini uwepo wa kiashiria cha watoto wanaozaliwa na uzito pungufu yaani uzito chini ya 2.5kg , ambapo tatizo ni kubwa kwa halmashauri ya @lindimanispaa Lindi Mc 9.54, @ruangwadc Ruangwa DC 5.25%, @nachingwea_dc Nachingwea DC 5.19%, @mtamadcofficial Mtama DC 5.53, @liwaledc Liwale DC 8.59%  halmashauri husika zimetakiwa kuendelea kutoa elimu ya lishe kuhusu ulaji unaofaa wakati wa ujauzito ili kukabiliana na changamoto hiyo.


Licha ya changamoto hiyo bado hamasa ya lishe inaendelea na kufanikiwa katika maeneo kadhaa ambapo kiashiria cha idadi ya wanafunzi wanaopata angalau mlo mmoja wakiwa shuleni kimeendelea kuongezeka ngazi ya mkoa kutoka 73.49% April -Juni , 2024 hadi kufikia 75.43% Julai -Spetemba , 2024


@maendeleoyajamii

@ortamisemi

@jirized

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.