Mkurugenzi wa Sea View Beach Resort Lindi Ndugu Gilbert Peneza amesema uwekezaji ambao umefanyika katika hotel hiyo, bila kupitia TIC ungeweza kugharimu pesa nyingi zaidi ya ambavyo imetumika kwa sasa kwani hadi sasa imetumia Bil 2.4 ikiwemo kuagiza vifaa mbalimbali kutoka nje ya nchi.
Meneja anasema kuwa TIC imewasaidia kuondolewa ushuru wa forodha kwa bidhaa mbazo waliziagiza nje ya nchi na hatua hiyo imewasaidia wao kama wawekezaji kuwekeza zaidi,
Hoteli hiyo inapatikana Lindi mjini pembezoni mwa bahari ya Hindi.
Karibu uwekeze Lindi
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.