#picha mbalimbali za wanajukwaa la Maendeleo ya ushirika Mkoa wa Lindi 2025 wakiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe. Victoria Mwanziva wakishiriki "Lindi Ushirika Marathon 2025 " iliyofanyika Manispaa ya Lindi Mei 17, 2025 Manispaa ya Lindi . Jukwaa hilo limewakutanisha wanaushiriki wote wa Mkoa wa Lindi.
Marathon hiyo ni sehemu ya ratiba ya bonanza ambalo linahusisha michezo mbalimbali kama vile Mpira wa miguu, Mpira wa Pete, Kukimbiza kuku na kuvuta kamba.
Jukwaa la Maendeleo ya Ushirika ngazi ya Mkoa litafika kilele Mei 18, 2025 ambapo kikao cha wanaushirija kitafanyika huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.