• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

MENEJA TANESCO JUMBE ATAKUMBUKWA KWA UTUMISHI ULIOTUKUKA .

Posted on: February 21st, 2025

Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena omary ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali ngazi ya  Kanda, viongozi wa dini,  Mkoa , wilaya, Taasisi, Mashirika pamoja wananchi  kuaga mwili wa  aliyekuwa Meneja wa TANESCO Mkoa wa Lindi Mhandisi Athumani Abdul Jumbe kwa ajili ya kuanza safari ya kusafirisha kuelekea Kisarawe Pwani ambako mazishi yatafanyika.Katibu Tawala Mkoa , akiwasilisha Salamu za Pole ,  kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa, amesema  Mhandisi Athumani Abdul Jumbe atakumbukwa kwa mengi mazuri na tunapaswa kujifunza kutoka kwake namna alivyokuwa  anafanya kazi zake katika utumishi wa umma. "Ofisi ya Mkuu wa Mkoa haijawahi kupokea malalamiko kutokana na utumishi au utendaji kazi wake , labda meneja wa TANESCO kafanya ili au lile , kwahiyo ninaomba watumishi wenzangu na  wananchi wa Mkoa wa  lindi tujifunze kupitia maisha ya wema aliyoishi Ndugu yetu Athumani Jumbe , na ndiyo maana kwa muda mfupi tumekutana hapa kutokana na wema aliotutendea ." Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Zuwena Omari.Ametumia fursa hiyo kuwakumbusha watumishi wa umma kutimiza majukumu waliyopewa ya kuwatumikia wananchi kwani maisha yetu hapa duniani ya muda tu .Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe. Victoria mwanziva akiwasilisha salamu za pole  kwaniaba ya wakuu wa wilaya wote wa Mkoa wa Lindi, amesema  walipohitaji ushirikiano kutoka kwa Meneja Jumbe wakati wowote ambapo taarifa au jambo la kiutendaji linapohitajika ama utatuzi wa changamoto katika kuwahudumia wananchi, walipata ushirikiano kwa wakati .Aidha, viongozi wa chama cha Mapinduzi , Tasisi, Meya wa Manispaa ya Lindi kwaniaba ya wenyeviti wote wa Halmashauri, Viongozi wa dini na Mashirika walipata wasaha  wakuwasilisha salamu za pole na rambirambi .Apumzike kwa amani .

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.