• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

MHE. KUNDO, NAIBU WAZIRI WA MAJI AANZA ZIARA YAKE YA KUKAGUA MIRADI YA MAJI MKOANI LINDI

Posted on: January 11th, 2025

Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Mathew amefanya ziara ha kikazi katika Mkoa wa Lindi ambapo ameanza kwa kukutana na watumishi wa sekta za mamlaka ya maji mkoa wa Lindi na kuziagiza mamalaka  Mamlaka za maji nchini  kuacha tabia ya kuwakatia maji wateja wao  pamoja na kuwatoza faini wateja wanaohitaji kurejeshewa huduma ya maji badala yake waone namna ya kuunganisha wateja  mita za kisasa ambazo wanalipia  huduma ya maji kadri wanavyotumia.


Akizungumza  na watumishi hao kwenye kikao cha sekta ya maji kilichounganisha Mamlaka za maji mkoani Lindi,Bonde la mto Ruvuma, Pwani ya kusini na Maabara ya ubora wa maji kanda ya Mtwara, Mhandisi Mathew amezipongeza mamlaka hizo kwa kazi nzuri na kubwa wanayoifanya ya kusimamia miradi mikubwa na ya kimkakati ya maji pamoja na kuunganisha mtandao wa maji safi na salama katika maeneo ya mijini na vijijini na kupelekea upatikanaji wa maji katika maeneo ya mijini kwa asilimia 61 na vijijini asilimia 63 katika mkoa wa Lindi.


Aidha, Mhandisi Kundo amesisitiza kuhusu kupanga mipango madhubuti inayoweza kutekelezeka, usimamizi na uendelezaji wa utoaji wa huduma ili iweze kuondoa manung'uniko na malalamiko ya wananchi katika utoaji wa huduma za sekta ya maji pamoja na kufanya utafiti wa kuziba mapungufu yanayoweza kujitokeza katika utoaji wa huduma kulingana na kuongezeka kwa watumiaji wa maji.


Aidha,  Meneja wa Wakala wa maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa)Mkoa wa Lindi, Mhandisi Muhibu Lubasa amesema kuwa Mkoa unaendelea na utekelezaji wa miradi ya Maji mikubwa na Midogo 7 yenye gharama ya jumla ya Tsh. Bilioni 64.5 ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji pamoja na miradi mingine 16 ikiwemo mradi wa vijiji 16, pamoja na utekelezani wa visima vya majimbo jumla 35 pamoja na vioksi 35 katika kila jimbo la uchaguzi ambapo visima 32 tayari vimeshajengwa na vimekidhi vigezo vyote vinavhohitajika ili vianze kuhudumia kwa kutoa maji kwa wananchi.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.