Mhe. George H. Mkuchika Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais , Ikulu (Kazi Maalum) aliyekaa upande wa kushoto, akisaini kitabu cha wageni na kupata maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa Biashara, viwanda na uwekezaji ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, alipotembelea banda la idara hiyo Agosti 5, 2024.
Mhe. Mkuchika amepata fursa ya kupata maelezo ya kina juu ya fursa mbalimbali zinazopatikana Mkoani Lindi ikiwemo madini, Kilimo, uvuvi, ufugaji , biashara, maeneo ya utalii na uwepo wa ardhi kubwa kwaajili ya uwekezaji.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.