• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

MHE. NDEMANGA " FUATILIENI TAARIFA ZA MIRADI YA MAJI"

Posted on: June 21st, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga ametoa wito kwa Wanajumuiya wa Vyombo vya Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSO's) pamoja na viongozi wa serikali za kata na vijiji kutambua kwa  kina taarifa za miradi ya Maji inayotekelezwa na serikali katika maeneo yao.

Mhe.Ndemanga ametoa wito huo jana, Juni 20, 2023 katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Vyombo vya Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSO's) unaoratibiwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA).

"Sote tuna Jukumu la kuitambua miradi inayotekelezwa kuanzia ujenzi wake, gharama zake na huduma inayotarajiwa kutolewa na miradi hiyo katika jamii zetu pamoja kuisaidia jamii kuelewa kwa kina kazi kubwa inayofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wetu Mhe. Daktari. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha Usambazwaji wa huduma ya Maji Safi na Salama nchi nzima na hususan katika Wilaya yetu ya Lindi." Ameeleza Mhe. Ndemanga.

Aidha, Mhe. Ndemanga amewataka Wanajumuiya hao kutoa hamasa kwa Wananchi katika maeneo yao Kuvuta huduma za maji katika makazi yao wanayoishi ili iweze kuwarahisishia katika ukusanyaji wa mapato pamoja na kuwa wabunifu katika kutumia njia mpya za uboreshaji wa huduma wanazotoa.

Akitoa taarifa ya Hali ya Upatikanaji wa Maji katika Wilaya ya Lindi, Mhandisi. Athanas Lume, Kaimu Meneja wa RUWASA Wilaya ya Lindi ameeleza kuwa Lengo kuu la RUWASA ni kuhakikisha inatekeleza miradi ya Maji hasa katika maeneo ya vijijini na wananchi wanapata huduma za Maji Safi na Salama.

"Utekelezaji wa Miradi ya RUWASA kwa sasa umefikia 76% ukilinganisha na wakati tunaanza kazi mwaka 2019 ambapo tulikua na 59%, na kwa kasi hii tunayoendelea nayo tunaamini hadi kufikia mwaka 2025 tutafikia lengo la 85% kama ilivyo ilivyohaidiwa katika ilani ya Chama Tawala"

"Kwa mwaka wa fedha 2022/23 tumetekeleza jumla ya miradi 6 yenye thamani ya Tsh. Bilioni 3.676 kwa kutumia mfumo wa Force Account ambapo tumefanya kazi ikiwemo Uboreshaji wa Mradi wa Milola, Utekelezaji wa mradi wa Maji wa Namunda- Mnolela pamoja na Utekelezaji wa Mradi wa Mawilo.

Kwa Mwaka ujao wa Fedha unaotarajiwa kuanza Julai, 2023 RUWASA inatarajiwa kutekeleza miradi yenye thamani ya Tsh. Bilioni 3.69"



























Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.