• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

MKOA WA LINDI WAPOKEA MICHE ELFU 60 YA MINAZI , AHADI YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Posted on: December 31st, 2024

Rais Samia ametekeleza ahadi yake ya kutoa miche elfu 60 ya minazi kwa mkoa wa Lindi ikiwa Mkoa wa Lindi na  Mtwara imepata miche laki Tano.

Akizungumza wakati wa kutoa mafunzo kwa maafisa kilimo kutoka Wilaya sita za mkoa wa Lindi, Meneja wa kituo cha utafiti wa kilimo mikocheni(TARI) Dk.Fredy Tairo, amesema kuwa wananchi wa mkoa wa Lindi na Mtwara waliamua kumuomba Rais Samia miche ya zao la minazi kutokana na minazi iliyopo katika mikoa hiyo kuwa ya muda mrefu na imekuwa ikikauka kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi pamoja na kushambuliwa na wadudu.

Dk.Tairo amesema kuwa wastani wananchi milioni 14 wanatumia nazi ingawa uzalishaji wake umeshuka kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo mabadiliko ya tabia ya nchi yanayopelekea kuibuka kwa mahonjwa pamoja nakukosa elimu ya utunzaji wa minazi. 

"Rais Samia ametoa  miche ya minazi  Laki tano kwa mkoa wa Lindi na Mtwara ambapo Mkoa wa Lindi unapata miche elfu 60. Miche hiyo ya minazi imetolewa kwasababu minazi mingi ya zamani inaathiriwa zaidi na mabadiliko ya tabia ya nchi hivbyo miche ya. Minazi hiyo na elimu inayotolewa. Kwa maafisa ugani itakwenda kupunguza tatizo na kuongeza uzalishaji."Amesema Dk.Tairo

Kwa upande wake kaimu katibu Tawala uchumi na uzalishaji Ndugu Ramadhani Khatibu amesema kuwa Licha ya kuwepo kwa ukame, zipo sababu zingine zinazopelekea kushuka kwa hali ya uzalishaji wa zao hilo ikiwemo kukosekana kwa viwanda vidogo .

"Sisi mkoa wetu hauna viwanda vidogo vidogo, nandio maana zao la nazi linashuka kila wakati, kungekuwa na viwanda; nazi ingekuwa na thamani kubwa kwani tungeweza kupata mafuta ya kutosha ,vifuu vingetengenezwa urembo wa wanawake.

Ndugu Khatibu ametumia fursa hiyo kumshukuru sana Rais Dkt.Samia  Suluhu Hassan kwa kuweza kutekeleza ahadi yake kwa wananchi wa Lindi na Mtwara.

Naye Ofisa kilimo  wa Wilaya ya Nachingwea Bi. Huruma Chiamba amesema kuwa watakwenda kusimamia wakulima  ipasavyo ili miche hiyo iweze kuleta tija katika uchumi binafsi naTaifa."Zao la nazi litakwenda kuwa na thamani kubwa kwa mikoa yetu ya kusini kwani tutakwenda kusimamia vizuri wakulima wetu na kuweza kuongeza thamani ya zao la nazi pamoja na kuongeza pato kwa wakulima wetu" Bi. Chiamba.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.