• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

PROGRAMU YA VISIMA 900 NCHINI, RUWASA LINDI YATEKELEZA KWA KISHINDO

Posted on: January 22nd, 2025

Jumla ya visima 9 kati ya 10 vya maji safi na salama vimechimbwa Wilayani Lindi na Wizara ya maji kupitia kwa wakala wa maji na usafi wa mazingira Vijijini (Ruwasa)Wilayani humo ikiwa ni utekelezaji wa programu ya uchimbaji visima 900 kwa nchi nzima.


Programu hiyo inalenga kuhakikisha zaidi ya asilimia 85 ya wananchi wa maeneo ya vijijini wanapata huduma

ya maji safi na kutimiza adhma ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ya kumtua mama ndoo kichwani.


Kaimu Meneja wa Ruwasa Wilaya ya Lindi Mhandisi Athanas Lume Patrick amesema visima hivyo vinavyogharimu

kiasi  cha shilingi Milioni 600 ,visima 4 vimechimbwa jimbo la mchinga vitakavyohudumia wakazi 2604 huku visima  5 ambayo vimechimbwa kwa halmashauri ya Mtama vitawahudumia takribani wakazi 4709 na hivyo kuongeza hali ya upatikanaji wa huduma ya maji kutoka 76 hadi 82.4


Ametaja maeneo ambayo vimechimbwa  kuwa ni pamoja na Dimba,Ruchemi,Kitongoji cha Runyu,Makangala,Kitongoji cha Likonde kwa upande wa jimbo la Mchinga wakati jimbo la Mtama vikichimbwa katika maeneo ya Vijiji vya Utimbe, Madingo ,Milamba,Litingi na Kitongoji cha Mbindo (Nahukahuka A).


Baadhi ya wananchi kutoka katika kijiji cha Dimba kata ya Kilolambwani akiwemo Saidi Abdalah,mwenyekiti wa Kijiji hicho na  Desteria Joseph Chilumba wamelalamikia kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya maji kwenye vyanzo vya asili ambavyo wamedai wanashirikiana na wanyama kama Tumbili na kwamba uchimbaji wa visima hivyo unakwenda kuondoa adha hiyo.


Akizungumza Januari 21 wakati wa ziara maalum ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maji Mkuu wa Wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva ametoa wiki 2 kwa wakala huo kukamilisha ujenzi wa miundombinu kama vioski katika visima ambavyo ujenzi wake unaendelea .


“Kutokana na uhitaji mkubwa wa maji,visima vinachimbwa ili wananchi warahisishiwe kupata huduma, nawaomba sana Ruwasa nitakaporudi tena nikute maji Mwamwamwa!”.Alisema Mwanziva.


Amemshukuru Rais Dkt.Samia kwa kuidhinisha kiasi cha Bil 12.79 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji ikiwemo uchimbaji wa visima wilayani Lind


Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.