• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN AMETOA ZAIDI YA BILIONI 99 KWA AJILI YA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

Posted on: March 19th, 2025

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amepeleka kiasi cha shilingi bilioni 99 na milioni 300 kwa ajili miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya ya Liwale.


Akizungumza na waandishi wa habari,  mkuu wa wilaya ya Liwale Godluck Mlinga amesema kuwa ndani ya kipindi cha miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, fedha  zimesaidia kuchochea maendeleo ya wilaya hiyo kwa kasi .


Mhe. Mlinga amesema kuwa kwenye sekta ya afya walipata zaidi ya bilioni 3 na milioni 800 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya, Vituo vya afya Zahanati pamoja na vifaa tiba.


Amesema kuwa, serikali ya awamu ya sita ilitoa Bilioni 3 na milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa shule za sekondari nne lengo likiwa kuinua na kuboresha elimu ya sekondari.


Aidha, Mhe. Mlinga, akitaja baadhi ya Mafanikio ambayo yamepatikana katika kipindi cha awamu ya 6 pamoja na ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Ofisi ya Mamlaka ya Ukusanyaji Mapato (TRA), Nyumba 2 za Afisa Tarafa katika tarafa ya Liwale Mjini na Kibutuka na ujenzi wa Chuo cha Ufundi stadi – VETA katika kata ya Makata ambapo jumla ya kiasi cha shilingi Bilioni 7.6 kimepokelewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo.


Ameongeza kwa kueleza fursa mbalimbali zinazopatikana Wilaya ya Liwale pamoja na uwepo wa ardhi yenye rutuba ambayo inapokea kila aina ya kilimo hususani zao la korosho, ufuta, mbaazi, karanga na ufugaji.


Kihit Liwale yametokana na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020 – 2025 na wao kama serikali kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya wamesimamia utendaji kuhakikisha yote yaliyopangwa yanafanikishwa kwa Mustakabali wa Maendeleo ya wana Liwale na Taifa kwa ujumla na pia, 


Tunamshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutatua kero za  wananchi na kuongoza viongozi wa ngazi zote wakiwemo Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wabunge na Madiwani kutatua changamoto za wananchi kwa kuwafikishia miradi ya maendeleo.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.