• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

TAKUKURU LINDI YAJIPANGA KUDHIBITI MIANYA YA VITENDO VYA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Posted on: November 19th, 2024

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Lindi katika kipindi cha Julai hadi  Septemba imetoa taarifa ya ufuatiliaji na utekelezwaji wa miradi ya maendeleo kumi yenye thamani ya sh.Bilioni 20 katika sekta ya elimu,maji ,ujenzi na afya .


Akizungumza na waandishi wa habari  ofisini kwake Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Lindi Bi. Asha Kwariko amesema wamefanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi 10 ya Maendeleo na miradi miwili,wameikuta na dosari.


"Tumeendelea na ufatiliaji wa utekelezaji wa miradi 10 ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 20 katika sekta za Elimu,Maji, Ujenzi na Afya."amesema Kwariko.

Amesema pia katika ufuatiliaji huo miradi 2 ilikutwa na mapungufu madogo madogo ambayo hatua mbalimbali zilichukuliwa ikiwa ni pamoja na kuwashauri warekebishe mapungufu hayo.


Aidha, Bi. Kwariko ameeleza kuwa TAKUKURU Mkoa wa lindi imejipanga vyema kudhibiti vitendo vya rushwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaitarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Novemba.


"Tunatarajia kuongeza  juhudi ya kuzuia rushwa kwa kuhamasisha ushiriki wa wananchi kupitia nyenzo mbalimbali za uelimishaji umma katika kudhibiti vitendo vya rushwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ili wasirubuniwe kwa hongo au vishawishi vyovyote vile na kudhalilisha utu wao kwa kupokea rushwa ili wamchague kiongozi asiyefaa ama kujitoa katika kugombea au kupiga  kura, na tayari tumeshafanya semina na makundi mbalimbali ikiwemo vijana, waandishi wa habari na viongozi wa dini tuna imani watafikisha ujumbe wa kupinga rushwa katika uchaguzi huu na tunaoutarajia mwakani" ameeleza.


Aidha, Mkuu wa TAKUKURU  Mkoa wa Lindi amewaomba wadau wote kuendelea kuwaunga mkono katia kuzuia vitendo vya rushwa kwa kutoa taarifa za viashiria vya rushwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa na miradi mingine ya maendeleo inayotekelezwa na serikali.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.