• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

UJENZI WA JENGO LA MTANDA COMMERCIAL COMPLEX WAFIKIA 40%

Posted on: February 13th, 2025

Ujenzi wa jengo la kibiashara "Mtanda Commercial Complex " linalojengwa Manispaa ya Lindi kwa thamani ya Tsh Bilioni 4.2 chini ya Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation ) NHC  umefikia 40% tangu ulipoanza Julai 1, 2024  hadi leo Februari 13, 2025.


Akieleza hatua za ujenzi wa jengo hilo Mhandisi Martha Noel Kabia amesema kuwa ujenzi wa jengo hilo kubwa la kibiashara hadi sasa umefikia 40% tangu ulipoanza Julai 1, 2024 na unatarajiwa kukamilika Desemba 31, 2025.

Ikumbukwe kuwa ujenzi wa jengo hilo kubwa la kibiashara ni mpango wa serikali katika kudumisha ustawi wa wananchi katika shughuli mbalimbali ikiwemo kukuza uwekezaji wa ndani.


Baadhi ya huduma ama shughuli ambazo zinatarijiwa kupatikana katika jengo la  Mtanda Commercial Complex pamoja na huduma za kibenki, huduma za chakula, Maduka zaidi ya 40 ya bidhaa mbalimbali , Baa na  Supermakert .


Ujenzi wa mradi huu kwasasa unatoa fursa kwa wananchi wenye ujuzi mbalimbali kupata ajira za muda zikiwemo kuuza chakula na  kazi za kusaidia mafundi. Mradi huu utakapokamilika unatarajiwa kutoa fursa nyingi  za kiuchumi ikiwemo ajira.


Mmoja wa wafanyakazi katika ujenzi wa mradi huo Ndugu John Haktibu ameshukuru kuwa miongoni mwa waliopata fursa ya ajira za muda na kuahidi kufanya kazi kwa juhudi ili kufanikisha lengo la serikali.


Naye, Bi. Asha Said Mbinga, mfanyakazi katika mradi huo ameipongeza serikali kwa mradi, kwani licha ya kutoa ajira kwa wananchi,  unatoa fursa za kibiashara na kuleta mandhari ya mji wa Lindi.


Kwa upande wake fundi Mkuu wa mradi huo Mhandisi Hassan Magawa amepongeza namna shirikia la Nyumba NHC lilivyojipanga katika utekelezaji na usimamaizi wa mradi huo kwani tangu ujenzi ulipoanza hakuna changamoto yoyote iliyojitokeza katika hatua mbalimbali za ujenzi na ndiyo maana linakwenda kwa kasi na ubora .


Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.